Language

Mradi wa uimarishaji wa mifumo katika sekta ya umma awamu ya pili unakusudia kuweka mikononi mwa serikali ya Tanzania mifumo ambayo inalenga kuboresha huduma bora kwa wananchi hususani kwa wale waishio katika mazingira magumu.


READ MORE - PS3 CASE BRIEFS: